Mfumo wa ulinzi wa Uturuki

Mkurugenzi wa elimu wa umoja wa “Türk Harb-İş” Tarkan Zengin anatufafanulia

Mfumo wa ulinzi wa Uturuki

Uturuki imepiga hatua muhimu katika sekta ya ulinzi. Karibu kila mwezi mafanikio yanafikiwa katika baadhi ya miradi muhimu sana, ikiwemo sekta ya ulinzi  na tunaona kwamba baadhi ya miradi mikubwa imefanyiwa majaribio na imefikia kiwango vizuri kiasi kwamba mikataba inasainiwa.kufanyika kusainiwa sherehe. 

Katika siku 10 za kwanza za mwezi Novemba, tuliona miradi mingi ya ulinzi. 1 Novemba 2018 chini ya uongozi wa Rais Erdoğan “TUBITAK SAGE” mfumo wa reli (HABRAS),mradi wa PULAT vimefanyiwa majaribio na kuonyesha matokeo mazuri.

Rais Recep Tayyip Erdoğan alitoa habari muhimu kuhusu sekta ya ulinzi katika Sherehe ya Ufunguzi wa Miundombinu ya Maendeleo ya Taifa ya Teknolojia ambapo majaribio hayo yalifanyika. 4 Novemba 2018 ni tarehe ambayo  mradi wa MİLGEM ulianizshwa na kuwasilishwa kwa jeshi la wanamaji F-513.

Mnamo Novemba 8, mwaka wa 2018 Idara ya Ulinzi ya Viwanda (SSB),ilianzisha mpango wa kutengeneza ndege za kivita MMI kama sehemu ya maendeleo ya nchi yetu.Mchakato huo umeleta maendeleo makubwa.. Mnamo Novemba 9, 2018, mkataba wa uzalishaji wa wingi wa mizinga 250 ya ALTAY ilisainiwa.

Shughuli hizi zilifanyika katika kipindi ambapo utendaji wa sekta ya Uturuki ya ulinzi ulifuatiliwa na Waziri Mkuu Recep Tayyip Erdoğan.Katika kipindi hicho rais Erdoğan alitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa miradi na maendeleo ya miundombinu ambapo majaribio mengi yalifanyika na mafanikio kuonekana.

Katika hotuba yake, Rais Erdoğan alisema:  Tumekusanyika leo ili kupima miundombinu muhimu ya maendeleo ya teknolojia ya kitaifa na miradi ya viwanda. Tunahakikisha kuwa miundo muhimu inatengenezwa nchini. Kwa usindikaji wa HABRAS, sekta yetu hiyo ya kiwanda itakuwa na idadi ndogo ya nchi husika. Moja ya bidhaa za muundo huu wa kitaifa ni mfumo wa ulinzi wa PULAT.

Kwa teknolojia hii, silaha zetu zitakuwa na umuhimu zaidi katika sekta ya ulinzi. Bidhaa nyingine muhimu ya sekta yetu ya ulinzi na teknolojia za ndani ni maendeleo ya mfumo wa nguvu ya “laser”.

Rais Erdoğan alitoa habari njema kuhusu uanzishwaji wa Mfumo wa Ulinzi wa Ndege  katika hotuba yake. Jina la mradi huo litakua ni SİPER, na bidhaa za kwanza zitakamilika mwishoni mwa 2021.

Ndege ya kwanza ya kivita ya MİLGEM ilitengenezwa mjini Istanbul katika sehemu za kazi za umma. Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan pia alihudhuria sherehe za ufunguzi wa mradi huo mnamo tarehe 4 Novemba mwaka wa 2018. Meli, hiyo ina urefu wa mita 99.5 na upana wa mita 14.4 ,uzito wa tani 2,000 .

Meli, ambayo ina uwezo wa kusafiri umbali wa kilomita 6,000 na uwezo wa kukaa bahari kwa siku 10. Corvette Burgaz, pia ina uwezo wa kupambana juu ya maji ,mapambano ya nyambizi, vita ulinzi, hali ya hewa, upelelezi na utafiti, amri na udhibiti na uwezo wa kutekeleza majukumu ya vita kwa ajili ya ulinzi.

Rais Erdoğan naye alihudhuria katika kufanya  makabidhiano ya meli hiyo.

Meli hiyo ina uwezo wa kuivuka bahari bila ya kuongeza mafuta. Pia inasema kwamba itatoa mchango mkubwa katika ufanisi wa mapambano katika jeshi la majini nchini Uturuki.

Manowari ina urefu wa mita 68, na uzito wa tani 850. Kama inavyojulikana, Mradi wa Ndege wa Taifa wa Kupigana unaendelea na ni mpango wa kipekee kwa nchi yetu ambapo bidhaa za sekta za ndani hutumika kwa kiwango cha juu.

Mradi una lengo la kukidhi mahitaji ya amri ya ndege za kivita ya kupambana na ndege nyingine baada ya miaka ya 2030 na kuwa mfano wa kipekee.

Sherehe za kusaini mkataba kwa ajili ya kutengeneza injini ya ndege hizo zilifanyika mnamo Novemba 8 2018. +

Kwa mkataba huo, mchakato wa kuendeleza injini ya awali ulianzishwa.

Inalenga kwamba injini ya ngege ya kivita ya Taifa itakuwa ya asili na kuendeleza injini ya awali kabisa. Lengo kuu la mradi ni kuondoa vikwazo vyote vya kuendeleza utengenezaji wa injini hiyo.

Vikosi vya Ardhi vya Uturuki vimekuwa vikifanya kazi kwa muda mrefu kuwa na vifaru vya kisasa vya kitaifa ambavyo inakidhi mahitaji ya leo.

Ubalozi wa Sekta ya Ulinzi ulisaini mkataba wa uzalishaji wa wingi wa mizinga ya Altay mnamo Novemba 9, 2018. Katika upeo wa mkataba, iliamuliwaa kuanzisha wa uzalishaji wa wingi wavifaru hivyo 250 vya ALTAY.

Kati ya sif aza mizinga hiyo itakuwa ni uwezo wa kutengeneza risasi zam oto na kuzirusha kwa kiwango cha juu kabisa .Itakuwa na silaha za kawaida pia zitakazokuwa zikiilinda mizinga hiyo dhidi ya vitisho vya aina tofauti.

Hatua hiyo itawasaidia wanajeshi kufanya majukumu yao katika maeneo yenye vitisho vya kemikali, biolojia, radioactive na nyuklia.

Mkurugenzi wa elimu wa umoja wa “Türk Harb-İş” Tarkan Zengin ametufafanulia mada yetu.


Tagi: Uturuki , ulinzi , mfumo

Habari Zinazohusiana