Uturuki na Libya kushirikiana katika sekta ya ulinzi

Waziri wa ulinzi wa Uturuki azungumza na viongozi tofauti wa Libya kwa ajili ya ushirikiano

Uturuki na Libya kushirikiana katika sekta ya ulinzi

Waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar azungumza kuhusu ushirikiano katika sekta ya ulinzi na viongozi tofauti nchini Libya.

Waziri wa ulinzi wa Uturuki amezungumza hayo Jumatatu na viongozi tofauri wa Libya katika ziara yake nchini humo.

Mazungumzo kati ya viongozi hao na waziri wa ulinzi wa Uturuki yamegubikwa na suaşa zima la ushirikiano kati  ya mataifa hayo mawili na  na masauala tofauti ya kikanda.

Taarifa hiyo imetolewa baada ya mkutano kati ya waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar na  mkurugenzi wa baraza la  taifa  Fayez al Sirraj ambae anatambulika kimataifa.

Katika mkutano huo waziri  wa mambo ya ndani Athi Ali Abdessalam Basjagha na Khaled al Meshri.

Hulusi Akar  ameshirikiana na amiri jeshi mkuu Yaşar Güler na  mkurugenzi wa shiriki la misaada na ushirikiano la TIKA Serdar Çam.Habari Zinazohusiana