Rais wa zamani wa Tunisia atoa pongezi  kwa Uturuki

Rais wa zamani wa Tunisia  Marzouki atoa pongezi kwa Uturuki kwa kuwapokea wakimbizi kutoka Syria

Rais wa zamani wa Tunisia atoa pongezi  kwa Uturuki

Rais wa zamani wa Tunisia Monsef Marzouki ametoa pongezi kwa Uturuki kwa kuwapokea  na  kutoa hifadhi  kwa wakimbizi kutoka nchini Syria.

Rais Marzouki amesema kuwa yeye kama mwarabu anatoa shukrani dha zati kwa Uturuki kwa kutoa hifadhi kwa wakimbizi zaidi ya milioni 3 kutoka Syria katika ardhi yake.

Hayo Marzouki ameyazungumza  katika  mkutnao uliondaliwa Jumamosi   na kitengo cha utamaduni wa kiislamu Essen nchini Ujerumani.

Marzouki ameimwagia sifa Uturuki kama taifa la kiislamu kwa kuonesha mfano mzuri wa kutoa hifadhi kwa wakimbizi zaidi ya milioni 3 na kusema kuwa Uturuki ni taifa ambalo linastahili  heshima.Habari Zinazohusiana