Mtaa kunakojengwa ubalozi mpya wa Marekani mjini Ankara wapewa jina la Malcolm X

Mtaa kunapojengwa ubalozi mpya wa Marekani mjini Ankara  wabadilishwa jina na kupewa jina la  mwanaharakati maarufu  wa haki za binadamu Marekani Malcolm X

Mtaa kunakojengwa ubalozi mpya wa Marekani mjini Ankara wapewa jina la Malcolm X

Mtaa kunapojengwa ubalozi mpya wa Marekani mjini Ankara  wabadilishwa jina na kupewa jina la  mwanaharakati maarufu  wa haki za binadamu Marekani Malcolm X.

Mtaa kunapojengwa ubalozi mpya wa Marekani mjini Ankara nchini Uturuki umebadilishwa jina na kupewa jina la mwanaharakati wa haki za binadamu wa  Marekani Malcolm X.

Katika taarifa iliotolewa na uongozi wa manispaa ya jiji la Ankara, mtaa namba 1478 katika kata ya Çankaya wilaya ya Çukurambar  kunapojengwa ubalozi mpya wa Marekani umebadilishwa jina na hivi sasa  kupewa jina la  Malcolm X .

Uamuzi wa kubalishwa jina mtaa huo  umechukuliwa baada ya zoezi la upigaji kura.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan  amefahamisha kwa upand e  wake kuwa  Uturuki italifanya jina la Malcolm X kubaki kuwa hai jijini Ankara.

Mtaa namba 1478 Çukurambar kunapojengwa ubalozi mpya wa Marekani kwa sasa unaitwa Malcolm X, ambalo ni jina la aliyekuwa mwanaharakati muislamu na mpigania haki za binadamu.Habari Zinazohusiana