Mashambulizi dhidi ya PKK yaendelea

Mashambulizi dhidi ya kundi la kigaidi la PKK yanaendelea .

Mashambulizi dhidi ya PKK yaendelea

Mashambulizi dhidi ya kundi la kigaidi la PKK yanaendelea .

Magaidi wameendelea kushambuliwa katika maeneo ya Şırnak, Bitlis na Kaskazini mwa Iraq.

Magaidi tisa wameripotiwa kuangamizwa na jeshi la Uturuki kati ya 16-17 Septemba.

Katika mashambuliz ya anga yaliyofanyika Şırnak,magaidi watano wameangamizwa.

Uturuki imeendeleza operesheni dhidi ya magaidi hasa wa PKK,nje na ndani ya mipaka yake.Habari Zinazohusiana