Jeshi la Uturuki laimarisha usalama katika eneo lake la mpakani na Syria

Jeshi la Uturuki laimairsha usalama mpakani mwa Syria na Uturuki

Jeshi la Uturuki laimarisha usalama  katika eneo lake la mpakani na Syria

 

Jeshi la Uturuki laimarisha usalama katika eneo lake la mpakani mwa Uturuki na Syria kwa kuagiza vifaa vya kivita.  Magari ya kivita, silaha  na wanajeshi wajelekeaza Jumamosi Hatay, mpakani  kwa ajili ya kulinda usalama.

Usalama umeiamarishwa katika eneo hilo kuzuia shambulizi la aina yeyote kutoka kwa wanamagmbo wa makundi ya kigaidi kuelekea Uturuki. 

 


Tagi: Hatay , Uturuki , Syria

Habari Zinazohusiana