Magaidi tisa wa YPG/PKK wakamatwa

Sekta ya upelelezi nchini Uturuki imewakamata magaidi tisa wa YPG/PKK.

Magaidi tisa wa YPG/PKK wakamatwa

Timu ya upelelezi nchini Uturuki imewakamata magaidi tisa wa YPG/PKK.

Kwa mujibu wa habari,magaidi hao walihusika na kuuawa kwa wanajeshi wawili wa Uturuki katika operesheni ya tawi la mzaituni Kaskazini mwa Syria.

Magaidi hao wamekamatwa katika operesheni iliyokuwa ikifanywa na wapelelezi hao pamoja na mapolisi wa Uturuki katika eneo la Afrin nchini Syria.

Magaidi hao walihusika na mashambulizi yaliyotokea Januari  23, 2018 Rajo.

Uturuki imeahidi kuwasaka na kuwakamata magaidi wote waliohusika katika shambulizi hilo lililopelekea vifo  vya wanajeshi wao.

 


Tagi: Uturuki , PKK

Habari Zinazohusiana