Ugiriki yawarejesha wanajeshi wawili wa Uturuki baada ya kuwazuia kwa muda

Ugiriki yawarejesha wanajeshi wawili wa Uturuki  waloikuwa wamezuiliwa baada ya kuvuka mpaka kimakosa

Ugiriki yawarejesha wanajeshi wawili wa Uturuki baada ya kuwazuia kwa muda

Makao makuu ya jeshi la Uturuki imefahamisha kuwa wanajeshi wake wawili waliokuwa wamezuiliwa na Ugiriki  baada ya kuvuka kimakosa  mpaka  kati ua mataifa hayo mawili wamerejesha nchini Uturuki.

Wanajeshi hao walirejeshwa Uturuki Jumapili majira ya jioni kama ilivyofahamishwa na  makao makuu ya jeshi.

Wanajeshi hauo wamerejeshwa baada ya mazungumzo kati ya viongozi wa Uturuki na Ugiriki .

Kulingna na taarifa zilizotolewa na  jeshi la kulinda usalama la Uturuki, wanajeshi hao walikamatwa baada ya kuvuka mpaka kimakosa wakiwa katika zoezi la kukabiliana na wahamiaji haramu wanaosafiri kuingia Ugirikiwakipitia Uturuki.Habari Zinazohusiana