Magaidi 35 waangamizwa ndani ya wiki mbili

Magaidi 35 wa PKK wameangamizwa na jeshi la Uturuki ndani ya wiki mbili.

Magaidi 35 waangamizwa ndani  ya wiki mbili

Magaidi 35 wa PKK wameangamizwa na jeshi la Uturuki ndani ya wiki mbili.

Operesheni dhidi ya magaidi zimekuwa zikiendelea ndani na nje ya Uturuki.

Kati ya magaidi walioangamizwa watano wameshambuliwa katika mashambulizi ya anga Şirnak.

Jeshi la Uturuki limeendeleza operesheni dhidi ya magaidi hasa katika maeneo ya kaskazini mwa Iraq.

 Habari Zinazohusiana