Amiri jeshi mkuu wa Burundi afanya ziara nchini Uturuki

Amiri jeshi mkuu wa Burundi apokelewa na waziri wa ulinzi katika ziara yake nchini Uturuki

Amiri jeshi mkuu wa Burundi  afanya ziara nchini Uturuki

Hulusi Akar waziri wa ulinzi wa Uturuki ampokea  amiri jeshi mkuu wa Burundi katika ziara yake rasmi nchini Uturuki.

Amiri jeshi mkuu wa Uturuki Yaşar Güler  ameshiriki pia katika mkutano uliofanyika kati ya waziri wa ulinzi wa Uturuki  Hulusi Akar na amiri jeshi mkuu wa Burundi Prime Niyongabo.

Mkutano huo kati ya viongozi hao katika idara ya ulinzi umefanyika bila ya waandishi wa habari kuhudhuria.

Mkutano huo umefanyika mjini Ankara.

 Habari Zinazohusiana