"Mapambano ya Ertuğrul Gazi  ni mfano wa kuigwa ili kupata ushindi "

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ametoa ujumbe  katika maazimisho ya  737 ya Soğut kuhusu Ertuğrul Gazi

binali yildirim sogut.jpg

 

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ametoa ujumbe katika  maonesho ya 737 ambayo  lengo lake ni kuadhimisha  ukumbusho wa Ertuğrul Gazi na  jamii ya Yoruk. Katika ujumbe wake rais wa Uturuki amesema kuwa  mapambano  ya Ertuğrul Gazi  ni mfano uliohai unaostahili kuigwa .

Mfano huo ni kutambua kipi ambacho  Uturuki inaweza kufaidi na kunufaika kipindi  mshikamano.

Rais wa Uturuki katika ujumbe wake huo  amezungumzia umhuimu wa umoja na ushirikiano katika jamii kwa kuwa ni mfano  mzuri wa kuigwa kutoka Ertuğrul Gazi.

Rais Erdoğan amesema kuwa  Uturuki inaendelea kusonga mbele ikiwa na matumaini  na kumtegemea muumba kuwa  maendelea na umoja vitaendelea khadi katia vizazi vijavyo.

Mashambulizi yanayoelenga safaru ya Uturuki, rais wa Uturuki amesema kuwa  pamoja na mştengo mingine Uturuki ipo macho kubaliana na  njamahizo.Habari Zinazohusiana