Magaidi tisa wa PKK waangamizwa Iraq

Magaidi tisa wa kundi la PKK wameangamizwa na jeshi la Uturuki Kaskazini mwa Iraq.

Magaidi tisa wa PKK waangamizwa Iraq

Magaidi tisa wa kundi la PKK wameangamizwa na jeshi la Uturuki Kaskazini mwa Iraq.

Kamanda Mkuu wa jeshi la Uturuki amesema kuwa magaidi hao wameshambuliwa katika operesheni zilizofanyika katika maeneo ya Basyan na Zap nchini Iraq.

Baadhi ya magaidi wameuawa,wengine wamejeruhiwa na wengine wamejisalimisha wenyewe.

Uturuki imeahidi kupambana na ugaidi ndani na nje ya mipaka yake.


Tagi: Iraq , PKK

Habari Zinazohusiana