“Uturuki haitofumbia macho mauaji nchini Syria”

Rais Erdoğan amepinga vilivyo mauaji ya maelfu ya wananchi nchini Syria.

“Uturuki haitofumbia macho mauaji nchini Syria”

Rais Erdoğan amepinga vilivyo mauaji ya maelfu ya wananchi nchini Syria.

Katika ukurasa wake wa twitter,Erdoğan am esisitiza kuwa Uturuki haitafumbia macho mauaji hayo na wala haitoshiriki katika ukatili huo.

Hayo rais Erdoğan ameyazungumza baada ya kufanya mkutano na viongozi wa Iran na Urusi na Iran mjini Tehran.

Uturuki imeitaka serikali ya Assad kuchukua hatua zinazoendana na mazungumzo ya Astana na si kinyume chake.

“Hatutokubali wananchi wa Syria wataabike”,alisema Erdoğan.

Syria imekua katika machafuko toka 2011.Habari Zinazohusiana