Magaidi 7 wa PKK waangamizwa Iraq

Magaidi saba wa kundi la kigaidi la PKK wameangamizwa nchini Iraq.

Magaidi 7 wa PKK waangamizwa Iraq

Magaidi saba wa kundi la kigaidi la PKK wameangamizwa nchini Iraq.

Jeshi la Uturuki limefanya mashambulizi katika eneo la Hikurk.

Magaidi wengine wanne wameshambuliwa katika mashambulizi ya anga nchini humo.

Kundi la PKK limekuwa likiishambulia Uturuki kwa miongo mitatu sasa.

Uturuki imeahidi kupambana na magaidi ndani na nje ya mipaka yake.


Tagi: Iraq , Uturuki , PKK

Habari Zinazohusiana