Mwenendo wa uadui wa rais wa Marekani dhidi ya Uturuki hauna faida yeyote

Mseamji wa bunge la Uturuki asema kuwa mwenendo wa uadui wa rais wa Marekani Donald Trump dhidi ya Uturuki haina faida yeyote

Mwenendo wa uadui  wa rais wa Marekani dhidi ya Uturuki hauna faida yeyote

Binali Yıldırım, msemaji wa bunge la Uturuki asema kuwa mwenendo wa uadui wa rais wa Marekani Donald Trump  dhidi ya Uturuki hauna faida yeyote ile.

Kwa mujibu wa msemaji wa bunge la Uturuki, vikwazo vya Marekani dhidi ya Uturuki  vinaelekea  katika vita vya kimataifa vya uchumi.

Binali Yıldırım amezungumzia   kuhusu vikwazo vya Marekani dhidi ya Uturuki katika ukurasa wake wa Twitter.

Binali Yıldırım amezungumzia vikwazo vilivyoilenga Iran, Urusi na sasa Uturuki  haivtozuia mataifa hayo kuwa na mshikamano akimaanisha kuwa Marekani  mshirika wake pekee ni sarafu yake na hilo  Marekani inatakiwa kulitambua.

 Habari Zinazohusiana