"Uturuki siku zote hushinda"

Uturuki yazungumza kuhusu kushuka kwa thamani ya pesa yake.

"Uturuki siku zote hushinda"

Msemaji wa serikali ya Uturuki ameeleza jinsi ambavyo Uturuki siku zote hupambana na kushinda.

Katika ukurasa wake wa twitter  Ibrahim Kalın amezungumza kuhusu kushuka kwa thamani ya sarafu ya Uturuki.

"Hakuna vitisho vyovyote vinaweza kuiteteresha Uturuki.

Kama tuliweza kupambana na jaribio la mapinduzi la mwaka 2016 na kushinda,hata sasa hivi tutashinda",amesema Kalın.

 Habari Zinazohusiana