Magaidi wanne wa PKK waangamizwa Kusini mwa Uturuki

Magaidi wanne wa PKK wameangamizwa kusini mashariki mwa Şirnak nchini Uturuki.

Magaidi wanne wa PKK waangamizwa Kusini mwa Uturuki

Magaidi wanne wa PKK wameangamizwa kusini mashariki mwa Şirnak nchini Uturuki.

Kwa mujibu wa habari,mashambulizi ya anga yamefanywa katika wilaya ya Beytussebap dhidi ya magaidi hao.

Jeshi la Uturuki hutumia neno kuangamiza kumaanisha kuuawa kwa magaidi hao,kujeruhiwa ama kukamatwa.

Kundi la PKK limekuwa likifanya mashambulizi nchini Uturuki kwa zaidi ya miaka 30.

Operesheni dhidi ya magaidi hao inaendelea.Habari Zinazohusiana