Mashambulizi dhidi ya magaidi yaendelea nchini Iraq

Wanajeshi wa Uturuki wameendelea kuwaangamiza magaidi Hikurk,Kaskazini mwa Iraq.

Mashambulizi dhidi ya magaidi yaendelea nchini Iraq

Wanajeshi wa Uturuki wameendelea kuwaangamiza magaidi Hikurk,Kaskazini mwa Iraq.

Magaidi watano wameangamizwa katika operesheni nchini humo.

Kwa mujibu wa habari,mashambulizi ya anga yaliandaliwa Hikurk na kufanikiwa kuwaangamiza magaidi hao.

Magaidi wengine 39 wakiwemo viongozi wanne wameangamizwa katika mashambulizi ambayo yamekuwa yakiendelea.

Ngome na silaha za magaidi hao vimeteketezwa.

Operesheni nyingine inaendelea Diyarbakir nchini Uturuki.

Tagi: magaidi , Iraq , Uturuki

Habari Zinazohusiana