Lavrov kufanya ziara nchini Uturuki

Waziri wa mambo ya nje  wa Urusi anatarajia kufanya ziara nchini Uturuki ifikapo wiki ijayo.

Lavrov kufanya ziara nchini Uturuki

Waziri wa mambo ya nje  wa Urusi anatarajia kufanya ziara nchini Uturuki ifikapo wiki ijayo.

Katika ziara hiyo,Lavrov atafanya mkutano na waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu.

Ziara hiyo itafanyika kuanzia 13 mwezi Agosti.

Masuala ya kimataifa ukiwemo mchakao nchini Syria vitatiliwa manani.

Viongozi pia watajadili mahusiano kati ya Uturuki na Urusi katika sekta tofauti.

 Habari Zinazohusiana