Sera kuhusu wakimbizi na misaada ya kibinadamu Uturuki

Kutoka katika  kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA, Mtafiti Can ACUN anatufafanulia

Sera kuhusu wakimbizi na misaada ya kibinadamu Uturuki

 

Uturuki katika harakati za kutoa misaada ya kiutu kwa watu wanye kuhitaji msaada , Uturuki imetoa mfano ambao unastahili kuigwa.  Uturuki inashika nafasi ya kwanza ulimwenguni kwa kutoa misaada ya kiutu.

Uturuki imejitolea kwa kiasi kkubwa kuwasaidia wakimbizi waliokumbwa na madhila katika maeneo tofauti ulimwenguni. Uturuki imethamani utu  kwa kutoa misaada. Na  jambo ingepenedeza kuona kama ulimwengu ungechukuwa mfano huo kama inavyafanya Uturuki kuhusu wakimbizi. Katika mfumo wake Uturuki kwa sasa inathamanisha uturu na haki za binadamu  licha ya kuwa kumeonekana tuhumu kutoka huku na kule .

Uturuki  inaheshimu ubinadamu na kuwapa binadamu wote haki sawa.  Uturuki ni miongoni mwa mataifa ambayo yanapokea  idadi kubwa ya wakimbizi ulimwenguni. Kulingana na ripoti iliotolewa na kuhusu  misaada ya kiutu ya mwaka 2018, Uturuki  imeshika nafasi ya kwanza kwa kuwa taifa ambalo linatoa msaada mkubwa kwa watu wanaohitaji msaada.  Katika  ripoti hiyo Uturuki ndio taifa mabalo linatoa msaada mkubwa ulimwenguni licha ya kuwa kipato cha ndani kuwa  asilimia 0,85. Luxembourg ikiwa asilimia  na Norway ikiwa asilimia 0,17.

Kutoka katika  kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA, Mtafiti Can ACUN anatufafanulia…      

Kulingana na taarifa zizlitolewa na shirika la maendeleo la Uingereza kuhusu misaada ya kibinadamu , Uturuki imetumia kiwango cha dola  biliani 8,07 kwa ails ya misaada ya kiutu. Kiwango hicho cha fedha kilitumiwa katika maenepo tofauti ulimwnguni kwa watu waliokuwa wakihitaji maada wakiwa katika madhila.

Msaada uliotolewa na Marekani ni asilimia 0,04  kulingana na kipato cha ndani , Ujerumani pia inafuatia kwa  dola biliano 2,52  sarafu ya Marekani.

Msaada kutoka Uturuki ni öiongoni mwa  sera mpya za nje za Uturuki ulimwenguni.  Uturuki imeonesha mfano ulimwenguni kwa kutoa msaada kwa watu waliokuwa katika mahitaji. Uturuki imeonesha mfano a mbao hata mataifa ambayo yanadai kupigania haki za binadamu  hayakuweza kutoa msaada kama huo.  Mataşfa hayo yamejipata katika msari wa nyuma  ni  tuhumu zilizokuwa zikiikabili Uturuki.  Uturuki imetoa msaada  kwa wakimbizi na watu waliokuwa katika madhila kwa muda mchache na kiasi kikubwa.

 Uturuki imetoa msaada huku ulimwenguni katika maeneo tofauti wakati huo ikiwa na wakimbizi  zaidi ya milioni 3,5  katika ardhi yake. Wakati huo huo mataifa mengine yakifunga mipaka yao hadi kufikia kuwanyanyasa  wahamiaji na wakimbizi huku   mataifa hayo yakijinasibu  kuwa yanatetea haki za binadamu.

 Uturuki inaelewa thamani ya binadamu ndio maana ipo kila pahaliambapo  kuna watu ambao wanahitaji msaada.  Uturuki imetoa mfano kuhusu msaada kwa wakimbizi.  Ikilinganshwa na mataifa tofauti  ambayo  hujinasibu kutoa misaada na kutetea haki za binadamu, Uturuki imeshika nafasi ya kwanza kwa kuwa karibu na watu wenye kuhitaji msaada . 

 Kutokana na hali ya ubaguzi inayoonekana kukita mizizi yake  ulimwenguni, sera za Uturuki zinakemea mwenendo huo na kuanza harakati ambazo lengo lake ni  kuwa kitu kimoja hasa wakati wa madhila na kutoa msaada kwa amabo wanhitaji masaada.  Uturuki ipo katka aneo ambalo linafahamika kuwa katika  eneo ambalo n kitovu cha utamaduni  Mediterania. Kuna mwenendo ambao umejitokeza katika baadhi ya mataifa ambayo yanadai kutetea haki za binadamu, ila kwa uhakika ukianzia uhalisia hali iliopo katika mataifa hayo  kwa wakimbizi ni hali isioridhisha. Wakimbizi wanaish katika hali ambayo inatia huzuni.

Madhila yanayowakabili wakimbizi katika mataifa ya bara la Ulaya na  na Marekani ni pamoja na ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya wageni. 

Baadhi ya makundi ya kisiasa ya mlengo wa kushoto ua mlengo wa kulia yanaonesha chuki dhidi ya wakimbizi na wahamiaji. Serikali ya kijamii ya Ujerumani katika historia yake inafahamika huku mlengo ambao unaonekana kuwa wa kikristo unapendekeza  sera ambazo zitakuwa ngumu  dhidi ya wakimbizi. Uturuki kwa upande wake ina wakimbizi wengi kulingo mataifa ya Ulaya kwa  pamoja. Ulaya na wakaazi milioni 550.  Katika mataifa tofauti barani Ulaya  makundi ambayo yanatetea ubaguzi yamejipatia nafasi katika jamii na kuwa katika nafasi ya pili.

Uturuki na pendekezo la rais  Recep Tayyıp Erdoğan, misaada ya kiutu  imetolewa wito na kuhamasishwa .

Kutoka katika  kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA, Mtafiti Can ACUN anatufafanulia

.Habari Zinazohusiana