Uturuki yawakumbuka mashujaa wa Julai 15 mwaka 2016

Uturuki yawaenzi na kuwakumbuka mashujaa wa Julai 15 waliozuia jaribio la mapinduzi mwaka 2016

Uturuki yawakumbuka mashujaa wa Julai 15 mwaka 2016

Uturuki yawaenzi na kuwakumbuka mashujaa waliozuiai jaribio la mapinduzi  mwaka 2016. Miaka miwili baada ya kufeli jaribio la mapinduzi, Uturuki imetoa heshma kwa wahanga na mashujaa waliozuia jaribio hilo ambalo liliendeshwa na wafuasi wa kundi la FETÖ mwaka 2016.Habari Zinazohusiana