Operesheni ya Qandil yaendelea

Jeshi la Uturuki linaendeleza mashambulizi yake katika operesheni Qandil.

Operesheni ya Qandil yaendelea

Jeshi la Uturuki linaendeleza mashambulizi yake katika operesheni Qandil.

Mashambulizi  ya anga na yale ya  ardhini yanatumika kuwaangamiza magaidi katika eneo hilo.

Toka mwezi Januari mpaka hivi sasa ni magaidi 500 wameshaangamizwa tayari.Habari Zinazohusiana