Yıldırım: "Lengo letu ni kuliangamiza kundi la PKK"

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım asema kuwa lengo la Uturuki ni kuliangamiza kundi la kigaidi la PKK

Yıldırım: "Lengo letu ni kuliangamiza kundi la PKK"

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım asema kuwa lengo la Uturuki ni kuliangamiza kundi la kigaidi la PKK.

Waziri mkuu wa Uturuki amesema kuwa lengo la Uturuki li kuangamiza kundi la kigaidi la PKK na kufahamisha kuwa sio jambo rahisi kulifuta kundi hilo kwa kusema hadharani bali kunhitajika uafanisi  mkubwa ili kufaanikisha jambo hilo.

Kwa mujibu wa waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım ,  lengo la operesheni ya Kandi Kaskazini mwa Irak  ni kuwangamiza moja kwa moja wanamagambo wa kundi la  kigaidi la PKK katika aeneo hilo.

Waziri mkuu wa Uturuki alifanya mahojiano na waandishi wa habari Jumatatu katika runinga ya Haber Türk.

Waziri Yıldırım kwa mara nyingine amesema kuwa lengo la jeshi la Uturuki ni kuhakikisha kuwa magaidi wa kundi la PKK wanaondolewa katika mipaka ya Uturuki.

 Habari Zinazohusiana