Wahamiaji haramu wakamatwa Uturuki

Wahamiaji haramu  kutoka katika mataifa tofauti wakamatwa  mkoni İzmir nchini Uturuki

Wahamiaji haramu wakamatwa Uturuki


Wahamiaji  haramu kutoka katika mataifa tofauti wakamatwa   Dikili na Urla  mkoani İzmiri Kusini-Magharibi mwa Uturuki. Kikosi cha Polisi ya kulinda mipaka cha Uturuki  kimefahamisha kuwakamata wahamiaji haramu 65  waliokuwa wakiiandaa na safari kuelekea nchini Ugiriki.

Wahamaiki 31 kutoka Syria wameokolewa na kikosi cha wanamaji.

Raia 6 kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati, wawili kutoka Irak, wawili kutoka Algeria na mmoja kutoka Togo wamekamatwa na kupelekwa katika ofisi za idara ya uhamiaji kwa ajili ya uchunguzi.
 Habari Zinazohusiana