Ndege za Uturuki zaangamiza magaidi 12 wa PKK Iraq

Zaidi ya magaidi kumi wa PKK wameangamizwa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Uturuki Kaskazini mwa Iraq.

Ndege za Uturuki zaangamiza magaidi 12 wa PKK Iraq

Zaidi ya magaidi kumi wa PKK wameangamizwa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Uturuki Kaskazini mwa Iraq.

Kwa mujibu wa habari,mashambulizi hayo yameangamiza magaidi katika maeneo ya Gara, Metina, Sinath-Haftanin na Hakurk.

Kundi la PKK limetambuliwa kuwa kundi la kigaidi na Uturuki,Marekani na Umoja wa Ulaya toka mwaka 2015.

Toka wakati huo mashambulizi ya kundi hilo yamesababisha vifo vya waturuki zaidi ya elfu moja.Habari Zinazohusiana