Magaidi 4464 wameangamizwa Afrin

Ni magaidi 4464 wameangamizwa toka kuanze kwa operesheni ya tawi la mzaituni Afrin nchini Syria.

Magaidi 4464 wameangamizwa Afrin

Ni magaidi 4464 wameangamizwa toka kuanze kwa operesheni ya tawi la mzaituni Afrin nchini Syria.

Idadi hiyo imetangazwa na rais Erdoğan siku ya Alhamisi.

Baadhi ya magaidi hao wameuawa,wengine wamejeruhiwa huku wengine wakiwa wamejisalimisha wenyewe.

Uturuki ilianzisha operesheni ya tawi la mzaituni toka 20 Januari.

Operesheni hiyo imeanzishwa kwa lengo la kuisafisha mipaka ya Uturuki dhidi ya magaidi.

Hakuna raia wa kawaida anaejeruhiwa wala kuuawa katika mashambulizi hayo.Habari Zinazohusiana