Magaidi wanne waangamizwa na jeshi la Uturuki Hakkari

Jeshi la Uturuki lawaangamiza magaidi wanne katika operesheni ilioendeshwa Hakkari

Magaidi wanne waangamizwa na jeshi la Uturuki Hakkari

Jeshi la Ututuruki lafahamisha kuwaangamiza magaidi wanne katika operesheni yake ya anga iliondesha Hakkari. Jeshi la Uturuki katika operessheni yake dhidi ya ugaidi limeendesha operesheni likilenga ngome za magaidi Yüksekova Hakkari.

Makao makuu ya jeshi la Uturuki imefahamisha kuwa operesheni dhidi ya ugaidi bado inaendelea katika maeno ambayo magaidi wanajaribu kuweka ngome zao.

 Habari Zinazohusiana