Jeshi la Uturuki lafungua kituo cha uchunguzi Idlib

Jeshi la Uturuki limefungua kituo cha 12 cha uchunguzi Idlib.

Jeshi la Uturuki lafungua kituo cha uchunguzi Idlib

Jeshi la Uturuki limefungua kituo cha 12 cha uchunguzi Idlib.

Hicho ndio kitakuwa kituo cha mwisho kufunguliwa na jeshi la Uturuki katika eneo la Idlib.

Kwa mujibu wa habari,Uturuki ilianza kuchukua hatua Idlib baada ya mkataba kusainiwa kati ya Urusi,Uturuki na Iran mnamo 12 Oktoba 2017.

Nchi hizo tatu zinafanya jitihada kumaliza mgogoro na vita nchini Syria.

Tagi: Idlib , Uturuki

Habari Zinazohusiana