Uchambuzi wa matukio, rais Erdoğan, siasa za nje na uchaguzi Uturuki

Uchambuzi wetu umefanywa kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA na mtafiti wetu Can ACUN

Uchambuzi wa matukio, rais Erdoğan, siasa za nje na uchaguzi Uturuki

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan katika waraka aliotoa ameahidi  kuwa mabadiliko makubwa yatashuhudiwa katika sekta ya  uchumi, afya na siasa za nje. Rais Erdoğan ndie aneongoza chama cha AK.

Uchambuzi wetu umefanywa   kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA na mtafiti wetu  Can ACUN.

Bila shaka katika wakati ujao na wakati uliopo kwa sasa ni wazi kuwa Uturuki umetoa kipaumbele katika kupambana na ugaidi ikiwa ni moja ya atua zilizopigwa  katika sera zake za siasa za nje.  Katika waraka wake uliotolewa baada ya jaribio la mapinduzi la Julai 15 mwaka 2016, rais Recep Tayyıp Erdoğan alisema kuwa mapambano dhidi ya ugaidi  sio tu yataishia katika mipaka yake bali hadi nje ya mipaka yake.  Uturuki  haştoishia katika mipaka yake katika kupambana na ugaidi bali hadi nje ya mipaka yake. 

Jeshi la Uturuki limeendesha mashambulizi ambayo yamepelekea wanamgambo wa Daesh wameangamizwa na kuondolewa katika mipanka yake. Vile vile jeshi la Uturuki lilishirikiana na jeshi huru la Syria  katika operesheni ya Efratia. Jeshi la Uturuki kwa ushirikiano na jeshi huru la Syria limesafisha  jimbo la Afrin kwa kuwaondoa magaidi wa PKK/YPG. Operesheni iliopelekea jimbo la Afrin ini operesheni ya Tawi la Mzaituni. 

Operesheni ya  Efratia ni operesheni ambayo  imeonesha kuwa Uturuki  katika mapambano dhidi ya ugaiidi  ilikuwa na umuhimu mkubwa  kwa kuwa   mashambulizi ya kundi la kigaidi la Daesh  yameweza kutokamezwa. 

Wakati huo huo, jeshi la Uturuki na Polisi kwa ushirikiano na idara ya upelelezi linaendelea kupambana  na ugaidi. Kwa ushirikiano na mamlaka husika  Uturuki imefaulu kuzuia mashambulizi ya kigaidi katika ardhi yake. 

Operesheni ya Tawi la Mzaituni imepelekea kuzuia magaidi  kuweza kujipenyeza Hatay. Magaidi wa PKK/YPG walikuwa na  lengo la kutaka kujipenyeza  Uturuki kupitia milima ya Amanos.

Kwa mujibu wa waraka wa rais Erdoğan , uchaguzi wa Juni 24 utafuatiwa na ukurasa mpya  katika nynja tofauti Uturuki na nje ya mipaka yake ikiwemo pia  katika juhudi za kupamba na na ugaidi.

Uturuki huenda ikaendelea na operesheni za kijeshi kama ilivyo sasa  Irak dhidi ya kundi la kigaidi la PKK. Operesheni mpya dhidi ya kundi la kşgaidi la YPG/PKK Kaskazini mwa Syria ni moja ya mpango wa Uturuki katika waraka huo uliotolewa na rais wa Uturuki.  Uturuki 

Uturuki haitambui  ushawishi wa yeyote yule wakati inapopamba na ugaidi. Hatua hiyo  ineoneka kubughudhi vbaadhi ya mataifa ya Magharibi Uturuki itaendelea na  mapnago wake huo ambao lengo lake lipo wazi  ni kulinda  maslahi ya Uturuki ulimwenguni na katika ukanda. 

Ufafanuzi wa Uturuki  kama mtendaji ulimwenguni , rais Erdoğan ameweka wazi  malengo yake.

Siasa za Uturuki barani Afrika katika ushirikiano na mtaifa ya bara hilo nisiasa ambazo zisizokuwa za kikoloni. Sşaza za Uturuki na mataifa ya bara la Afrika ni ushirikiano na misaada. Uturuki imetoa mfano mkubwa .  Uturuki imeingia katika orodha ya   kutoa misaada ulimwenguni ikilinganishwa na kipato chake. Hali hiyo imeonesha ni kiasi gaini siasa za Uturuki katika ushirikiano na  mataifa ya bara la Afrika umepewa kipaumbele na kuwa mfano.

Ilı siasa za nje za Uturuki ziwe na muda wa kudumu inatakiwa kuwa tegemezi na kuwa na umuhimu kimkakati.

Sekta ya ulinzi ya Uturuki ina umuhimu mkubwa .  Idara na sekta ya ulinzi katika waraka wa rais Erdoğan  imepewa nafasi muhimu. Uturuki imeweza kufanya mageuzi makubwa ambayo yamefikia asilimia 90 katika ekta ya ulinzi mwaka 2011 na kuchukuwa nafasi ya 18 ulimwenguni. Vile vile Uturuki imekuwa uwezo wa kuuza silaha nje.  Uturuki imeweza kupunguza kuwa tegemezi katika kununua sialaha kutoka nje kwa silimia 80.

Uturuki inayo matumaini kuahikisha kuwa katika wakati ujao  sekta ya ulinzi itaendelea kuimarika.

Katika ujenzi wa ndege zisizokuwa na rubani, Uturuki imepiga hatua. Uturuki imeingia katika orodha ya mataifa 6 ulimwenguni ambayo  yanazailisha ndege zisizokuwa na rubani katika jeshi. Rais Erdoğan amesema kwamba Uturuki itaunda vifaru visivyokuwa na madereva ikiwa ni fikra ambayo imeanzishwa na Uturuki na ikiwa ni ishara kuwa Uturuki imepia atua katika teknolojia.

Kuimarika kwa sekta ya ulinzi ya Uturuki  kunainua ufanisi wake katika  siasa zake za nje. Uturuki imekuwa  kimbilia katika ununuzi wa sialaha  na mataifa ambayo yana ushirikiano na mzuri na Uturuki. 

Uturuki inauza nje vifaru vyake  katika mataifa tofauti barani Afrika, mataifa kadhaa ya Ghuba na Asia. Maleizia pia Uturuki inauza vifaru vyake kwa nchi hiyo.  Uuzaji pia wa helikopta ya aina ya ATAK  na mashua za kivita  Pakistani. Uturuki imeuza  ndege zisizokuwa na rubani zisizokuwa na silaha  Bayraktar TB2 nchini Qatar.

Uchambuzi wetu umefanywa   kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, uchumi na jamii SETA na mtafiti wetu  Can ACUN.

 

 Habari Zinazohusiana