Idadi ya watalii kutoka Uingereza yaongezeka nchini Uturuki

Idadi ya watalii kutoka Uingereza nchini Uturuki imeongezeka kwa asilimia 84

Idadi ya watalii kutoka Uingereza yaongezeka nchini Uturuki

Idadi ya watalii kutoka Uingereza nchini Uturuki imeongezeka kwa asilimia 84.

Kampuni kubwa ya usafiri ya Uingereza Thomas Cook imesema kuwa idadi ya watalii kutoka Uingereza kuelekea Uturuki imeongezeka kwa asilimia 84 ukilinganisha na ilivyokuwa mwaka jana.

Kulingana na ripoti iliyotolewa na Thomas Cook,familia nyingi nchini Uingereza zimetoa oda kwa ajili ya kuitalii Uturuki kutokana na bei kuwa nafuu ukilinganisha na huduma zinazotolewa.

Uturuki inatoa huduma bora kwa watalii kwa bei nafuu.

Uturuki imeonekana kuwa ni kivutio kikubwa cha utalii.Habari Zinazohusiana