Rais Erdoğan afahamisha kuanza kwa kampeni za uchaguzi

Rais Recep Tayyıp Erdoğan afahamisha kuanza kwa kampeni za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Juni 24

Rais Erdoğan afahamisha kuanza kwa kampeni za uchaguzi

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğna afahamisha kuanza kwa kampeni za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika  ifikapo Juni 24 mwaka 2018.

Uchaguzi huo ulikuwa umepangwa kufanyika mwaka 2019.

Hayo rais Erdoğan aliyazungumza akiwa na waandishi wa habari  mjini Istanbul.

 

 Habari Zinazohusiana