Jibu la Uturuki kwa Marekeni kuhusu uchaguzi Uturuki

Jibu la Uturuki kwa Marekani baada ya matamshi ya kupinga uchanguzi unaotarajiwa kufanyika nchini Uturuki

Jibu la Uturuki kwa Marekeni kuhusu uchaguzi  Uturuki

Jibu la Uturuki kwa Marekani baada ya taifa hilo kupinga uchaguzi unaotarajiwa kufanyika nchini Uturuki.

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Uturuki Hami Aksoy amejibu pingamizi  kutoka Marekani lililotolewa na Heather Nauert kuhusu uchaguzi unaotarajiwa  kufanyika nchini Uturuki.

Jibu hilo limetolewa na Uturuki  baada ya Marekani kupinga uchaguzi huo nchini Uturuki.

Hami Aksoy amesema kuwa hali ya dharura haina athari yeyote katika demokrasia  bali matamshi hayo ni wazi kuwa kuna nia mbaya dhidi ya Uturuki.

Aksoy ameendelea kusema kuwa  uchaguzi ni ombi kutoka kwa raia  na kusema kuwa ni ambo lisilokubalika ni kinyume na matakwa ya raia.

 Habari Zinazohusiana