"Wafuasi 80 wa FETÖ warudishwa Uturuki kutoka nchi nyingine"

Rais Erdoğan akihutubia katika mkutano wachama cha AK mjini Istanbul amesema kuwa Uturuki imefanikiwa kuwarudisha wafuasi 80 wa FETÖ kutoka nchi za nje.

"Tumewarudsha wafuasi 80 na tunawasaka waliobaki",alisema rais Erdoğan.

Vilevile katika hotuba hiyo rais Erdoğan amesisitiza kuwa ni lazima kiongozi wa kundi la FETÖ Fetullah Gulen aliye Pennsylvania atarudishwa pia.

Wafuasi wa kundi la FETÖ wamekuwa wakikamatwa huku wengine wakihukumiwa kifungo cha maisha nchini Uturuki.

Hii ni kutokana na kundi hilo kushutumiwa kujihusisha na jaribio la mapinduzi lililotokea 15 Julai 2016 nchini Uturuki.

Jaribio hilo lilipelekea vifo vya mamia ya raia nchini humo huku wengi wakiwa wamepata majeraha.Habari Zinazohusiana