Rais Erdoğan adhamiria kukabiliana na wahaini wa kundi la FETÖ

Rais Erdoğan adhamiria kuendelea na mapambano dhidi ya kundi la wahaini wa FETÖ

Rais Erdoğan adhamiria kukabiliana na wahaini wa kundi la FETÖ

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa  mapambano dhidi wa wahaini wa kundi la FETÖ/PYD yataendelea .

Katika hotuba yake aliotowa akiwa Maltepe, rais wa Uturuki asema kuwa  wafuati 80 wa kundi la FETÖ wamerejeshwa Uturuki kutoka  mataifa tofauti. Idara ya upelezi kwa ushirikiano na Gabon imewakamata watu muhimu wa kundi la FETÖ na kurejesha nchini Uturuki.

Wafuasi hao watatu walikamatwa nchini Gabon.

 Habari Zinazohusiana