Uturuki ina haki kununua silaha kutoka katika taifa lisilokuwa mwanachama wa NATO

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu asema kuwa Uturuki inayo haki ya kununua siaha zake kutoka katika taifa lisilokuwa mwanachama wa NATO

Uturuki ina haki kununua silaha kutoka katika taifa lisilokuwa mwanachama wa NATO

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlütt Çavuğoğlu asmema kuwa serikali ya Uturuki inayo haki ya kununua silaha kutoka katika taifa lililote haka kama taifa hilo sio mwanachama wa jeshi la kujihmi la Magharibi.

Uturuki ilinunua mfumo wa kujihami na makombora kutoka Urusi jambo ambalo limepelekea mzozo wa kidiplomasia bain aya Uturuki na washirika wake katika jeshi la kujihami la Magharibi la NATO.

Mfumo wa kujihami na makombora ulionunuliwa na Uturuki kutoka Urusi ni mfumo wa S-400.

Mevlüt Çavuşoğlu amesema kuwa  Uturuki ni mwanachama wa NATO na ni taifa huru ambalo linaweza kununua sialaha kutoka katika taifa lolote hata kama taifa hilo sio mwanachama wa NATO.Habari Zinazohusiana