Rais Erdoğan azungumzia operesheni  ya tawi la mzaituni Afrin nchini Syria

Rais Erdoğan azungumzia operesheni  ya tawi la mzaituni Afrin nchini Syria na kusema kuwa ni  magaidi 3400 wamengamziwa toka kuanze kwa operesheni hiyo.

Rais Erdoğan azungumzia operesheni  ya tawi la mzaituni Afrin nchini Syria

Rais Erdoğan azungumzia operesheni  ya tawi la mzaituni jimboni Afrin nchini Syria na kusema kuwa ni  magaidi 3400 wamengamziwa toka kuanze kwa operesheni hiyo.

Rais Erdoğan amesisitiza kuwa endapo operesheni hiyo ingekuwa imelenga magaidi basi jimbola Afrin lingekuwa limekwisha anagamia.

Lengo la kuanzisha kwa operesheni hiyo ni kuwasaidia raia wa Syria na vilevile kuisafisha mipaka ya Uturuki dhidi ya ugaidi.

Baadhi ya magaidi hao wameuawa,wengine wamejeruhiwa huku wengine wakiwa wamejisalimisha wenyewe.

Uturuki ilianzisha operesheni ya atwi la mzaituni toka 20 Januari.

Hakuna raia wa kawaida anaeyejeruhiwa wala kuuawa katika mashambulizi hayo.Habari Zinazohusiana