Mwanajeshi mmoja auawa na magaidi Afrin

Manajeshi mmoja wa Uturuki auawa na magaidi katika operesheni inayoendelea Afrin nchini Syria

Mwanajeshi mmoja auawa na magaidi Afrin

Mwanajeshi mmoja wa jeshi la Uturuki ameuawa katika operesheni dhidi ya ugaidi inayoendelea Afrin nchini Syria tangua kuanza kwake Januari 20.

Mwanajeshi huyo amefariki baada ya kujeruhiwa katika operesheni iliokuwa ikiendelea Afrin Machi 12 Jinderes.

Mwanajeshi mwingine amefariki katika mapigano  yaliozuka katika kijiji cha Gungoren mkoani Ağrı.

Operesheni ya Tawi la Mzaituni ilianza Januari 20 dhidi ya kundi la wanmagmbo wa PKK/PYD kwa lengo la kuwandoa mpakani mwa Uturuki na Syria.

 

 Habari Zinazohusiana