"Lengo la Uturuki ni kuwaondoa magaidi mipakani mwake"

Amiri jeshi mkuu wa Uturuki asema kuwa operesheni ya Tawi la Mzaituni Syria ni kwa lengo la kuwaondoa magaidi wa PKK na  Daesh

"Lengo la Uturuki ni kuwaondoa magaidi mipakani mwake"

 

Amiri jeshi mkuu wa Uturuki Hulusi Akar asema kuwa operesheni ya Tawi la Mzaituni ilioanzishwa Afrin nchini ina lengo la kuwandoa magaidi wa PKK n a Daesh katika mipaka ya Uturuki na Syria.

Operesheni  hiyo inayoendelea Afrin itakomeshwa wakati ambapo kutahakikishwa kuwa magaidi wa kundi la PKK/PYD na Daesh wameondolewa katika mipaka ya Syria.

Amiri jeshi mkuu wa Uturuki Hulusi Akar akiwa nchini Qatar katika ziara yake ya kikazi amekumbusha kuwa lengo la kuanza kwa operesheni hiyo Januari 20 ni kuhakikisha kuwa hakuna gaidi hata mmoja wa kundi la PKK/KCK/PYD-YPG na DAESH katika mipaka ya Uturuki na Syria.Habari Zinazohusiana