Zaidi ya magaidi 1610 wameshambuliwa Afrin

Zaidi ya magaidi 1610 na makundi ya kigaidi ya PKK/PYD na DAESH wameshambuliwa na majeshi ya Uturuki wakati operesheni nchini Syria ikiendela.

Zaidi ya magaidi 1610 wameshambuliwa Afrin

Zaidi ya magaidi 1610 na makundi ya kigaidi ya PKK/PYD na DAESH wameshambuliwa na majeshi ya Uturuki wakati operesheni nchini Syria ikiendela.

Kwa mujibu wa habari,kati ya magaidi hao baadhi wamejisalimisha wenyewe,wengine wamejeruhiwa huku wengine wakiwa wameuawa.

Tarehe 20 Januari Uturuki ilianzisha operesheni ya tawi la mzaituni Afrin nchini Syria.

Operesheni hiyo imelenga kulinda mipaka ya Uturuki dhidi ya magaidi.

Jeshi la Uturuki linajitahidi kuwa hakuna raia hata mmoja wa kawaida anajeruhiwa katika operesheni hiyo.Habari Zinazohusiana