Uturuki na Somalia wasaini mkataba kushirikiana kiuchumi

Uturuki na Somalia imesaini mkataba kuimarisha mahusiano ya kiuchumi kati ya nchi hizo mbili.

Uturuki na Somalia wasaini mkataba kushirikiana kiuchumi

Uturuki na Somalia imesaini mkataba kuimarisha mahusiano ya kiuchumi kati ya nchi hizo mbili.

Naibu makamu wa rais wa Uturuki Recep Akdağ amesema kuwa Uturuki ina mpango wa kuimarisha mahusiano ya kibiashara na Somalia.

Kwa mujibu wa habari,Uturuki imewekeza zaidi ya dola milioni 100 nchini Somalia.

Bwana Akdağ pia ametabiri kuwa mahusiano ya kibiashara yataongezeka mpaka kiwango cha dola milioni 200.

Ameyazungumza hayo mjini Ankara.

 Habari Zinazohusiana