Rais wa Uturuki na Tunisia wafanya mazungumzo

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan amefanya mazungumzo ya simu na rais wa Tunisia Beji Caid Essebsi pamoja na makamu wake wa rais Yusuph Shahid.

Rais wa Uturuki na Tunisia wafanya mazungumzo

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan amefanya mazungumzo ya simu na rais wa Tunisia Beji Caid Essebsi pamoja na makamu wake wa rais Yusuph Shahid.

Katika mazungumzo hayo,viongozi hao wamezungumzia umuhimu wa kudumisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

Ziara ya rais Erdoğan nchini Tunisia mwezi uliopita iliashiria mahusiano mazuri kati ya Uturuki na Tunisia.

Rais Erdoğan pia ametoa shukrani kwa rais wa Tunisia kwa ukarimu wake wakati wa ziara yake nchini humo.

 Habari Zinazohusiana