Msaada wa Marekani kwa wanmagmbo wa kundi la PYD/YPG ni hatari kwa usalama nchini Syria

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu asema kuwa msaada wa silaha kutoka Marekani kwa wapiganaji wa kundi la PYD/YPG ni hatari kwa usalama nchini Syria

Msaada wa Marekani kwa wanmagmbo wa kundi la PYD/YPG ni hatari kwa usalama nchini Syria

 

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki asema kuwa msaada wa Marekani kwa wanamgambo wa  kundi la kigaidi la PYD/YPG unatishia juhudi za amani na usalama wa Syria.

Uturuki inalitambua kundi la PYD , kundi ambalo linapewa msaada kutoka Marekani kama kama kundi la kigaidi.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki amesema kuwa usaidizi unaotolewa na Marekani kwa kundi la kigaidi la PYD tawi la kundi la PKK nchini  Syria.

Katika ujumbe wake waziri wa mambo ya nje wa Uturuki amepongeza juhudi za Uturuki kwa ushirikiano na mataifa mengine kutafuta suluhu la kudumu katika mzozo wa Syria.

Msaada wa kijeshi kutoka Marekani kwa kundi hilo ni tishio kwa usalama na amani nchini Syria kuanzia sasa hata katika wakati ujao alizidi kusema waziri Mevlüt Çavuşoğlu.

Jambo la kushngaza ni kwamba Marekani ni mwanachama wa NATO kama ilivyo Uturuki tangu mwaka 1952 kutoa msaada kundi ambalo ni tawi la kundi la kidaidi linaloshambulia raia.

 Habari Zinazohusiana