Erdoğan asema kundi la FETÖ limeusambaratisha umma

Rais Erdoğan wa Uturuki amezidi kulilaani kundi la FETÖ.

Erdoğan asema kundi la FETÖ limeusambaratisha umma

Rais Erdoğan wa Uturuki amezidi kulilaani kundi la FETÖ.

Rais Erdoğan amesema kuwa kundi la FETÖ limeusambaratisha umma wa kiislamu na kuharibu maisha yajayo ya wananchi nchini humo.

Hayo ameyazungumza wakati wa sherehe za chuo kikuu cha Marmara mjini Istanbul.

Kundi la FETÖ ndilo linashutumiwa kuhusika na jaribio la mapinduzi lililopelekea vifo vya watu 250 huku wengine zaidi ya elfu mbili wakiwa wamejeruhiwa.

Rais Erdoğan ameongeza kuwa kusema FETÖ imesababisha mambo maovu kwa wananchi wa Uturuki.


Tagi: FETÖ , Erdoğan

Habari Zinazohusiana