Yıldırım: "Uturuki itaendelea kuunga mkono Palestina na Jerusalem"

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım asema kuwa Uturuki itaendelea kuunga mkono Palestina na Jerusalem

Yıldırım: "Uturuki itaendelea kuunga mkono Palestina na Jerusalem"

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım amesema kuwa serikali ya Uturuki itaendelea kuwa na Palestina na kuunga mkono Jerusalem.

Katika hotuba yake hiyo waziri mkuu wa Uturuki amesema kuwa rais wa Marekani Donald Trump amechukuwa aumuzi usiokuwa wa kisheria na usikuwa na umuhimu wala thamani katika ukanda.

Uturuki itaendelea kutetea maslahi ya wapalestina na Jerusalem  katika mashirika yote ya kimataifa.

Hayo waziri mkuu wa Palestina aliyazungumza Jumamosi akiwa katika mkutano wa chama tawala AKP Artvin Kaskazini-Mashariki mwa Uturuki.Habari Zinazohusiana