Shirika la misaada ya kiutu la Uturuki lapeleka misaada Idlib Syria

Shirika la misaada ya kiutu la Uturuki (IHH) limepeleka malori 5 ya msaada katika mji wa Idlib nchini Syria.

Shirika la misaada ya kiutu la Uturuki lapeleka misaada Idlib Syria

Shirika la misaada ya kiutu la Uturuki (IHH) limepeleka malori 5 ya msaada katika mji wa Idlib nchini Syria.

Taarifa kutoka IHH inasema kuwa msaada huyo ni pamoja na unga, na bidhaa nyingine mbali mbali. Msaada huyo ulifika jumatatu katika mji wa Idlib.

Msaada utatolewa katika makambi yanaopatikana kwenye vitongoji vya Idlib ya wale waliokimbia makazi yao

Tagi: Syria , Idlib , Uturuki , IHH

Habari Zinazohusiana