Jeshi la Uturuki lashambulia ngome za PKK Kaskazini mwa Iraq

Jeshi la Uturuki laendesha operesheni dhidi ya ngome za wanamgambo wa kundi la PKK Kaskzaini mwa Iraq

Jeshi la Uturuki lashambulia ngome za PKK Kaskazini mwa Iraq

Jeshi la Uturuki lashambulia ngome za wanamgambo wa kundi la kigaidi la PKK Kaskazini mwa Iraq ambapo ghala za silaha za wanamgambo hao zilichomwa moto.

Jeshi la anga limeshambulia  kambi za wanagambo hao Kaskazini mwa Iraq katika harakati zake za kupambana na makundi ya kigaidi.

Makao makuu ya jeshi imetangaza kuwa jeshi la Uturuki lilishambulia ngome za wanamgambo wa PKK zinazopatikana Kandıl, Sinath-Haftanın, Zap ba Hakurk.


Tagi: ugaidi , Iraq , PKK , Uturuki

Habari Zinazohusiana