Rais Erdoğan azungumzia uongozi wa Mustafa Kemal Atatürk

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa Mustafa Kemal Atatürk ni mmoja miongoni wa viongozi wa karne

Rais Erdoğan azungumzia uongozi wa Mustafa Kemal Atatürk

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa Mustafa Kemal Atatürk ni mmoja miongoni wa viongozi wa karne

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa baba wa taifa Mustafa Kemal Atatürk ni mmoja miongoni mwa viongozi mashujaa wasionpingika katika karne hii.

Rais Erdoğan ameseka katika maadhimisho hayo ya  maiaka 79 ya kifo cha baba wa taifa kuwa  Uturuki itapambana na yeyote yule anaelitakia taifa la Uturuki mabaya.

Kila mwaka ifikapo Novemba 10 nchini Uturuki huandaliwa hafla ya kuadhimisha kifo cha baba wa taifa Mustafa Kemal Atatürk ambe alifariki Novemba 10 mwaka 1938.

Raia walipongeza juhudi za kiongozi huyo wa kihistoria  nchini Uturuki.

 Habari Zinazohusiana