Ujumbe wa Novemba 10 kutoka rais Erdoğan

Rais Erdoğan asema kuwa baba wa taifa Mustafa Kemal  alikuwa akiwaamini raia wake

Ujumbe wa Novemba 10 kutoka rais Erdoğan

Rais Erdoğan asema kuwa baba wa taifa Mustafa Kemal  alikuwa akiwaamini raia wake

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan katika ujumbe wake kwa ajili ya Novemba 10 amesema kuwa baba wa taifa la Uturuki Mustafa Kemal alikuwa akiwaaamini kwa kiasi kikubwa raia wake.

Rais Erdoğan ametoa ujumbe kwa ajili ya maadhimisho ya 79 ya kifo cha Mustafa Kemal.

Rais Erdoğan amepongeza juhudi na kujitolea kwa Mustafa Kemal katika kuongoza harakati za zilizotpelekea Uturuki kupata uhuru wake.

Katika mapambano makubwa yalioongozwa Musatafa Kemal tangu mwaka 1919 hadi mwaka 1923 taifa zima la Uturuki linapongeza ujasiri wa kiongozi huyo. Mustafa Kemal amepigania bendera ya Uturuki kwa moyo mmoja katika kuikomboa Uturuki.

 

 Habari Zinazohusiana