Uturuki haitoruhusu usalama kuyumbishwa katika ukanda

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım asema kuwa Uturuki haitoruhusu usalama katika ukanda kuyumbishwa

Uturuki haitoruhusu usalama kuyumbishwa katika ukanda

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım asema kuwa Uturuki haitoruhusu usalama katika ukanda kuyumbishwa

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım asema kuwa Uturuki haitoruhusu au kufumbia macho jambo lolote linaloonekana kuwa litayumbisha usalama katika ukanda.

Katika mazungumzo yake waziri mkuu wa Uturuki amezungumzia pia kuhusu hukumu ya kifungo cha maisha kwa baadhi ya wafuasi wa kundi la FETÖ waliotaka kupindua serikali Julai 15 mwaka 2016.

Waziri mkuu aliendelea kusema kuwa juhudi za kuyumbisha usalama katika mipaka ya Uturuki na Syria na Iraq zinaendelea jambo ambalo Uturuki haitofumbia macho.

Uturuki ıtafanya kila liwezekano ili kuzuia hali tete katika mpaka wake.Habari Zinazohusiana