Ziara ya Nicoalas Maduro nchini Uturuki

Rais Nicolas Maduro afanya ziara yake rasmi nchini Uturuki

Ziara ya Nicoalas Maduro nchini Uturuki

 

Rais Nicolas Maduroa katika ziara yake rasmi nchini Uturuki ametembelea bunge la Uturuki na kukutana na spika wa bunge la Uturuki Ismai Kahraman.

Vile vile rais Maduro atakutana na rais Recep Tayyıp Erdoğan kwa ajili ya mazungumzo.

Viongozi hao wawili watazungumza kuhusu ushirikiano kati ya Uturuki na Venezuela ikiwemo pia  masuala tofauti ya kimataifa.

Tume ya rais Maduro na rais Erdoğan zitajadiliana kuhusu  ushirikiano katika sekta ya nishati na baisahara.

Mazungumzo mengine yataoongozwa na mawziri wa mambo ya nje ikulu.

Mwezi uliopita rais Erdoğan na rais Maduro walikutana katika mkutano uliofanyika mjini Astana.

 Habari Zinazohusiana